JSP Page
MATANGAZO
New
New
New
New
New
New
New
  • Soma Zaidi »
  • MATUKIO
    Menu Page

    KARIBU SDS

    SDS ni mfumo wa kimtandao wa kuendesha,kudhibiti na kutunza taarifa na miamala ya SACCOS. SDS ni mfumo rafiki, salama na unaofanya kazi kwa wepesi wa namna ya kipekee katika kufanya miamala na Kuzalisha taarifa za kiuhasibu za SACCOS ya aina yoyote na taasisi zingine za kifedha (Microfinance). SDS ni mfumo imara unaozingatia uwazi,usahihi wa taarifa, huduma bora kwa mtumiaji na kutoa taarifa ya papo kwa papo

    Zifuatazo ni baadhi ya shughuli zinazofanywa na SDS
    • Kudhibiti usajili wa Mwanachama
    • Kukokotoa na Kudhibiti Maombi ya Mikopo
    • Kuzalisha na Kudhibiti Mtiririko wa Marejesho ya Mkopo
    • Kudhibiti Adhabu kwa marejesho yaliyocheleweshwa
    • Kudhibiti miamala inayofanywa
    • Kuzalisha Taarifa Mbali Mbali za Kiuhasibu kama vile Leja mbali mbali, Mizania, urari,Mtirirko wa Fedha,Majedwali ya Wanachama n.k
    • Kudhibiti mawasiliano ya wanachama
    • Kudhibiti Mali za chama


    Tafadhali ingiza namba yako ya uanachama (au namba ya kompyuta au Namba ya simu au barua pepe) na nywila yako

    Fomu ya Maombi ya Uanachama

    Tarehe ya Kuzaliwa:
    SDS - Job Form
    Kufuatilia maombi yako ya kujiunga uanachama, jaza taarifa husika hapa chini


    Nenda Ukurasa wa Nyumbani
    SDS - Kikokotozi cha mkopo
    Kikokotozi cha mkopo
    Kiasi cha Mkopo:
    Muda (Miezi):


    SDS - Kikokotozi cha mkopo
    Kikokotozi cha mkopo
    Kiasi
    Muda

    Exception caught:An exception occurred processing [/menu/fpwd.jsp] at line [137] 134: 135: 136: <% 137: ResultSet rs3=statement.executeQuery("select * from loan where loan_name='Mkopo wa Dharura'"); 138: if(!rs3.next()){ 139: %> 140:
    <%=rs3.getString("loan_name")%> Haujasajiliwa
    Stacktrace: